Wednesday, November 4, 2015

Serikali Yakanusha Taarifa za Kifo cha Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa


 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Msemaji  Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Assah Mwambene amekanusha taarifa zinazosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusu Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa kuwa amefariki Dunia. Akizungunza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam, Mwambene amesema Rais Mkapa yupo salama na mzima wa afya na hakuna maradhi yoyote yanayomsumbua. Mwambene amewaasa watumiaji...