Friday, June 12, 2015

Bajeti za Afrika mashariki zasomwa


Viongozi wa Afrika masharikiSerikali za Afrika mashariki zimetumia kodi kuvitahadharisha viwanda vyake kwa upande mmoja na kuwapa motisha wananuzi wa bidhaa kutoka nje wanaosaidia sekta muhimu kama vile miundo mbinu,kawi mbali na utekelezwaji wa itifaki ya soko la pamoja.

Katika mapendekezo ya bajeti yaliosomwa siku ya alhamisi Kenya, Uganda Rwanda na Tanzania zimepunguza kodi za bidhaa zinaozoagizwa kutoka nje kwa sekta muhimu kama vile kawi,mawasiliano na miundo mbinu.

No comments:

Post a Comment