
Viongozi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa mazingira mjini Moshi, MUWSA wakifuatilia hotuba iliyokuwa ikitolewa na mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama (hayupo pichani) wakati wa utolewaji wa maoni juu ya bei mpya ya huduma ya maji.
Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Moshi waliofika katika ukumbi wa Hindu Mandal kwa ajili ya kutoa maoni.
No comments:
Post a Comment