Friday, April 10, 2015

ANGALI VITUKO VYA WATOTO KWENYE MATAMASHA YA BURUDANI

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
                                        Aaaaah... Bro' unapeleka wapi huo mkono sasa ayiiiii... au ndiyo mnajipaga raha kiasi hiki mkija kwenye burudani zenu dah! kuanzia leo siachi kuzamia starehe za wakubwa, na siku nikikua nitafidia hivi ninavyovikosa leo, maana ukubwa kumbe rahaaa... mama yangu uuuwiiiiii...

No comments:

Post a Comment