Marehemu
Lusekelo Samson Mwandenga 'Secky' enzi za uhai wake. Familia ya Marehemu
Lusekelo Samson Mwandenga 'Secky' imeweka wazi chanzo cha kifo cha
marehemu baada ya kuzagaa habari mitandaoni kuhusu chanzo cha kifo
chake.
Familia
hiyo imeeleza kuwa marehemu aliumizwa na kiti cha kioo akiwa kambeba
mtoto wake nyumbani kwake kisha akapelekwa hospitali na baadaye kufariki
dunia akiwa hospitali. Enzi za uhai wake, marehemu alikuwa mdau mkubwa
wa Bongo Movies na Bongo Fleva, hivyo msiba wake umegusa tasnia hiyo.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Secky mahali pema pepon
No comments:
Post a Comment