Thursday, April 16, 2015

PSPF YAZINDUA HUDUMA YA MICHANGO KUPITIA MAXMALIPO

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni,Vvijana na Michezo, Juma Nkamia, (wapili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (wapili kushoto), na Afisa Mtendaji Mkuu wa Maxcom Africa, Juma Rajabu, wakizindua huduma mpya ya wanachama wa Mfuko huo, kuwasilisha michango yao kupitia Maxmalipo. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye ofisi za makao makuu wa PSPF, Golden Jubilee, katikati ya jiji leo Alhamisi Aprili 16, 2015. Kulia ni Mkurugenzi Mtendajiwa Glob al Publisher, Erick Shigongo, ambaye ndiye aliyebuni na kushawishi PSPF kutumia huduma hiyo kurahisishia wanachama wake.

Kutoka kushoto kwenda kulia, Naibu Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Zamaradi Kawawa, Afisa Mtendaji Mkuu wa Maxcom Africa, Juma Rajabu, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Myingu, Naibu Waziri Juma Nkamia, Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publisher, Erick Shigongo, wakishikana mikono baada ya kuzinduz huduma hiyo
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Maxcom Africa, na wenzao wa PSPF, katika uzinduzi.
Baadhi ya maafisa wa PSPF
Wafanyakazi wa PSPF.(Muro

No comments:

Post a Comment