KOCHA wa Yanga Hans van der Pluijm amesema kipigo cha bao 8-0, walichokitoa juzi dhidi ya Coastal Union kimemshangaza
KOCHA wa Yanga Hans van der Pluijm amesema kipigo cha bao 8-0,
walichokitoa juzi dhidi ya Coastal Union kimemshangaza kwani hajawahi
kupata matokeo kama hayo tangu aanze kufundisha soka kwenye nchi
mbalimbali za Afrika ikiwemo Ghana na Saudi Arabia.
No comments:
Post a Comment