KUNDI LA VIJANA MARAFIKI WA LOWASSA WAFIKA KILELE CHA MLIMA KILIMANJARO
Safari ya
siku tano kwa vijana hao ikahitimishwa katika kilele cha Uhuru Peak
wakiongozwa na mratibu wa marafiki wa Lowassa Kanda ya Kaskazini Noel
Nnko (mwenye koti jekundu)
Safari ya
kurudi kiasi ilikuwa tatizo wakati mwingine baadhi yao walilazimika
kupewa msaada kwenye kifaa maalumu cha kushushia wageni waliopata
matatizo
No comments:
Post a Comment