Brighton Masalu
Sorry! Staa
wa sinema za Kibongo, Halima Yahya ‘Davina’ anadaiwa kumwangukia
mumewe, Abdallah Shakoor ili kurejesha uhai wa ndoa yao ‘iliyokwaruzwa
na makucha ya shetani’ ikiwa ni njia ya kurudisha heshima na hadhi yake
kwenye familia na jamii kwa jumla.
No comments:
Post a Comment