Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama,
Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi
(CCM) wa Mkoa wa Lindi, waliofika kwenye Ofisi ya CCM mkoani humo Juni
08.2015, kwa ajili ya kutia saini fomu za kumdhamini ili ateuliwe
kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho,
ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 300.Picha zote na John Badi.
Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama,
Bernard Membe (wa pili kushoto) na mkewe Dorcas (kushoto) wakifuatilia
kwa makini jinsi wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa
Lindi, wakati wakitia saini fomu za kumdhamini kwa ajili ya kuteuliwa
kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho,
katika Ofisi ya CCM mkoani humo Juni 08.2015, ambapo aliweza kupata
wadhamini zaidi ya 300.
No comments:
Post a Comment