Tuesday, June 9, 2015

Mgombea mwingine wa Urais Tanzania,anayechukua form leo JanuaryMakamba

 
mk 
List ya Wabunge ambao wametangaza nia ya kugombea urais naambiwa kwamba inaongezeka siku hadi suku na kwa sasa wako zaidi ya 20 kutoka Chama Cha Mapinduzi pekee.

Taarifa imenifikia kuwa Mbunge wa jimbo la Bumbuli ambaye pia mjumbe wa NEC na Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknologia January Makamba Baada ya Kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais Mlimani City Dsm,Saa tano ya leo June 1o atachukua form ya kugombea Urais mwaka 2015 Mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment