Friday, August 28, 2015

Sentensi za mgombea Urais 2015 kupitia CCM Dkt Johh Pombe Magufuli



.
.
Mgombea wa Urais kupitia chama cha Mapinduzi, Dkt John Pombe Magufuli bado  anaendelea na ziara zake  za Uchaguzi 2015, huko mikoani.
Sasa hapa nina sentensi za mgombea huyo akiwa ana zungumza katika ziara hizo.


Mhe. Magufuli akiwa Mkwajuni asema anatosha kuwa Rais wa Watanzania, akitoa sababu ya utendaji wake wa kazi. #HapaKaziTu #UmojaNiUshindi

No comments:

Post a Comment