Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrishi Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa
mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa
mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki juzi asubuhi
katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa
kufanyika leo huko Morogoro.
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki jjuzi asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika leo huko Morogoro
No comments:
Post a Comment