Rais wa zamani Mohammed Morsi
Rais wa
zamani wa Misri Mohamed Morsi amehukumiwa kifungo cha mika 20 jela kwa
kosa la kuchochea machafuko wakati wa maandamano mwezi Desemba mwaka
2012
Mohamedi
Morsi alishirikishwa katika kesi hiyo pamoja na wafuasi wengine kumi na
mbili wa Muslim Brothehood, ambao wamehukumiwa pia kifungo cha miaka
ishirini jela.
Huu ni uamzi wa kwanza dhidi ya kiongozi wa zamani wa Misri tangu alipotimuliwa madarakani na jeshi mwezi Julai mwaka 2013
No comments:
Post a Comment