Tuesday, April 21, 2015

MADAKTARI BINGWA KUTOKA INDIA WATOA MATIBABU JIJINI ARUSHA


SAM_2087
Austin Makani Mratibu wa Kambi ya matibabu Arusha katika kituo cha kutoa huduma kwa wanawake (MMC)kilichopo mkabala na Hoteli ya Impala, akizungumza na waandishi wa habari juu ya ujio wa madaktari bingwa kutoka India kwa ajili ya kuwaona wagonjwa wenye matatizo ya Moyo,Tumbo,Upasuaji wa saratani,Mishipa ya fahamu na uti wa mgongo,Shida za Figo,Mifupa,upasuaji wa jumla na upasuaji wa kupunguza uzito,zoezi hilo litafanyika kwanzia tarehe20-22 Aprili 2015.
SAM_2071
Madaktari bingwa kutoka India.

SAM_2085
Daktari bingwa kutoka India katika hospitali ya Apollo Abhijit Singh akizungumza jambo katika mkutano na waandishi wa habari jijini Arusha katika kituo cha MMC Health

No comments:

Post a Comment