Balozi wa
Tanzania nchini Oman Mh. Ali Ahmed Saleh (aliyebeba mtoto) akiwa na
baadhi ya kundi la Watanzania 18 waliookolewa kutoka Yemen ambako
hakukaliki kutokana na vita. Hapa wananchi hao wapo katika uwanja wa
ndege wa Muscat wakiwa njiani kurejeshwa nyumbani.
Sehemu ya wananchi hao wakijiandaa kuondoka Muscat, Oman, kurejea nyumbani.
No comments:
Post a Comment