Mashindano ya Lucy Owenya Cup yazinduliwa Moshi vijijini
Mbunge
wa viti Maalumu mkoa wa Kilimanjaro, Lucy Owenya akiwasili katika
uwanja wa michezo wa shule ya sekondari Singhiti kwa ajili ya ufunguzi
wa mashindano ya Lucy Owenya Cup 2015 yanayofanyika katika jimbo la
Moshi vijijini na kushirikisha kata 16 za jimbo hilo
No comments:
Post a Comment