HABARI
ikufikie kuwa muuza nyago wa video za wasanii wa Bongo Fleva (video
queen), Agness Gerald 'Masogange' anadaiwa kutimuliwa nchini Afrika
Kusini 'Sauzi' na sasa amekuwa akionekana Bongo akirandaranda mitaani.
Muuza nyago wa video za wasanii wa Bongo Fleva (video queen), Agness
Gerald 'Masogange'.
Kwa
mujibu wa chanzo makini ambacho Masogange ni rafiki yake aliyeko maeneo
ya Midland jijini Johannesburg, Sauzi, staa huyo alitimuliwa na mwenye
nyumba baada ya kodi ya pango kwisha na kutakiwa kulipa jambo ambalo
lilimshinda.
Ilisemekana kwamba mwanaume aliyekuwa
akimpa jeuri aliyetajwa kwa jina maarufu la Said 2010 ambaye ni
mfanyabiashara, Mbongo aishie jijini humo alimtosa hivyo bidada akarejea
Bongo kinyemela
No comments:
Post a Comment