MUVI mpya
ya Pishu kutoka Kajala Intertaiment & Baby Black Productions
itakuwa sokoni kesho usikose kujipatia nakala yako kwani ndani yake
utakutana mastaa wakali wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja, Hemedy
Phd, Tausi, Senga na wengine kibao.
Kajala akiongea na mtandao huu amewaomba mashabiki wake na wapenzi wa filamu za Kibongo kutoikosa muvi hiyo itapatikana sehemu zote Tanzania kuanzia kesho
No comments:
Post a Comment