Monday, April 13, 2015
wapendao blog
Mwanamke mmoja mwenye umbo la miraba minne ambaye unaweza
kumuita Bonge baada ya jina lake kutopatikana mara moja, wikiendi
iliyopita alifikwa na msala mkubwa alipo bambwa na sungusungu akifanya
mapenzi kwenye kichaka na dereva wa teksi.
Chanzo chetu kilidai kuwa Bonge huyo alikuwa na wenzake wakitoka
kwenye kicheni party, walipofika maeneo ya Sinza-Afrika Sana jijini Dar,
aliwachenga wenzake baada ya kumpata dereva huyo ambaye aliahidi
kumpa kiasi f’lani cha fedha ili ‘wakalicheze segere’ usiku mnene.
Wakiwa katikati ya mchezo, jirani mmoja alisikia miguno ya kimahaba
hivyo alipenyua pazia la dirisha lake na kuwashuhudia laivu kitendo
ambacho kilimkera ambapo alitoka nje na kwenda kuwaita sungusungu ambao
walifika na kuwatimua wawili hao huku bonge akitimka mbio na
kuacha nguo yake ya ndani na kadi ya mwaliko wa kitchen party.
Mpekuzi blog
Tupe Maoni Yako( Matusi Hapana )
No comments:
Post a Comment