Wednesday, April 15, 2015

WAZIRI NYALANDU AANZA KUTATUA MIGOGORO YA ARDH



Waziri wa Maiasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dk Adrehem Meru, wakipata maelekezo kuhusiana na mipaka ya hifadhi ya Taifa ya Saadan kutoka kwa Mhifadhi Mkuu wa Saadan, Alhaj Hassan Nguruma (katikati) walipotembelea kutatua mgogoro uliohusu wananchi na hifadhi hiyo.


Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Katibu mkuu wake Adrehem Meru wakiwa katika boti katika mto wami juzi walipotembelea hifadhi hiyo kwa ajili ya kutatua mgogoro wa mpaka katika ya hifadhi hiyo na wananchi.

Mhifadhi Mkuu wa Saadan, Alhaj Hassan Nguruma(katikati) akitoa maelezo kwa Waziri wa Maiasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dk Aderehem Meru kuhusiana na mogoro wa mipaka baina ya hifadhi hiyo na wawekezaji wa shamba linalopakana na hifadhi hiyo. Waziri Nyalandu aliamuru mipaka ya zamani izingatiwe ili kumaliza mgogoro huo.

No comments:

Post a Comment