Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akifungua rasmi mkutano wa siku mbili wa Open
Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20, 2015.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akielezea jambo wakati akifungua rasmi mkutano wa
siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20,
2015.
Mkurudenzi
Mtendaji wa taasisi ya Twaweza Bw. Brian Eyakuze akimkaribisha Rais
Jakaya Mrisho Kikwete kupokea tuzo maalumu ya taasisi zisizo za
kiserikali kwake kwa kuwa kiongozi aliyetekeleza kwa vitendo masuala ya
Serikali ya Uwazi na Ushirikiano. Hii ni wakati wa ufunguzi wa mkutano
wa siku mbili wa Open Government Partnership (OGP) katika Ukumbi wa
Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Mei 20,
2015.
No comments:
Post a Comment