Katibu wa
Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akitoa maelezo ya taarifa zake
muhimu wakati wa kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura
kwa Afisa Mwandikishaji Msaidizi Shaibu Chitala kwenye shule ya msingi
Mbagala Majengo B,jimbo la Mtama mkoani Lindi.
Katibu wa
Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akitia saini wakati wa kukamilisha
taratibu za kuandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ,Mtama
mkoani Lindi.
No comments:
Post a Comment