Na Richard Bakana-shaffihdauda.com.
Wachezaji
wa klabu ya Liverpool jana katika mchezo wa ligi kuu ya England (EPL)
walipokutana na mabingwa wapya wa ligi hiyo Chelsea waliwaonyesha
heshima yao ya kubeba ubingwa, kitendo ambacho hata hapa Nyumbani
Tanzania kwa mara ya kwanza kilionyesha na klabu ya Azam FC ambao
waliwapigia makofi Yanga siku ya Jumatano timu hizo zilipokutana katika
Uwanja wa Taifa.
Mchezo huo ambao ulipigwa Nyumbani kwa Chelsea ‘Stamford Bridge’ ulimalizika kwa timu hizo kugawana pointi baada ya kufungana bao moja moja.
No comments:
Post a Comment