Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akutana na kufanya mazungumzo na
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika
katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili May 10, 2015 katika
siku ya pili ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na waandishi wa habari baada ya kufanya
mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria katika Ikulu ya
nchi hiyo jijini Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya
ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Rais wa Baraza la Nchi ya
Algeria Mhe. Abdulkhader Bensalah akiwasili katika ukumbi wa El-Mithak
Residency jijini Algiers kwa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na Rais wa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika katika
Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya
pili ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
No comments:
Post a Comment