Mkuu wa
Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wandishi wa habari
hawapo pichani ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya
wandishi wa habari waliohudhulia katika mkutano wa wandhi wa habari na
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda jijini Dar es Salaam
leo.(Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.)
Na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.
Madereva
wamepewa kipaumbele kwenye tume itakayokuwaikisimamia usafirishaji,kwani
tume hiyo itakuwa na wajumbe watano kutoka Umoja wa madereva tuu na
kutoka sekta nyingine watakuwa wajumbe watatu .
Hayo
yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda wakati
akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo
No comments:
Post a Comment