Wasanii
wawili wanaotamba Bongo hivi sasa Shilole na Nuh Mziwanda wametua leo
nchini Ubelgiji tayari kwa show yao ya jumamosi.Wakiwa na nyuso za
furaha hotelini walipofikia wameahidi kufanya bonge la show kwa
pamoja.wameomba wapenzi wao wajitokeze kwa wingi kuja kushuhudia
burudani.
No comments:
Post a Comment