Friday, May 22, 2015

MAHAKAMA YA AFRIKA YA HAKI ZA BINADAMU(AfCHPR) YASIKILIZA KESI YA WATUHUMIWA 10 WA UJAMBAZI MOSHI


Majaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR) wakiingia Mahakamani kusikiliza kesi ujambazi iliyofunguliwa dhidi ya watuhumiwa 10 raia wa Kenya walioufanya mwaka 2006 mkoani Kilimanjaro.
Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR), Jaji Augustino Ramadhani akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Arusha na kutoa wito kwa nchi zaidi kutoa tamko kwa Mahakama hiyo ili wananchi na asasi za kiraia kuitumia Mahakama hiyo, nchi saba pekee ikiwemo Tanzania zimetoa tamko hilo.
Wanafunzi wa Shule ya mchepuo wa kiingereza ya St Jude ya mkoani Arusha wakiwa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu (AfCHPR)wakisikiliza mwenendo kesi ikiwa ni sehemu ya masomo yao

No comments:

Post a Comment