BARCELONA, HISPANIA
SIKU moja
kaba ya mchezo wa juzi wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kati
ya Barcelona dhidi ya Bayern Munich, mlinda mlango wa Bayern, Manuel
Neuer, alisema kuwa katika mchezo huo atahakikisha Messi hapati bao.
Neuer
alisema, atamuonesha kuwa yeye ni nani katika soka na jinsi anavyoweza
kulinda lango kama ilivyokuwa katika mchezo wa fainali Kombe la Dunia
mwaka jana.
"Nitamuonesha
mimi na yeye nani zaidi, nitahakikisha hapati bao kama ilivyo katika
fainali za kombe la dunia nchini Brazil mwaka jana," alisema Neuer,
kabla ya mchezo wa juzi
No comments:
Post a Comment