Mkurugenzi
wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin akikabidhi baadhi ya
vifaa vya Kituo cha Afya cha Kijijicha Kambi ya Simba wilayani Karatu
mkoani Arusha kwa baadhi ya viongozi wa Serikali ya Kijiji hicho, ambapo
Kampuni hiyo ya Bia ilitoa vifaa vyenye thamani ya Sh.Milioni 22.
Mwananchi
wa Kijiji cha Kambi ya Simba kilichopo Kata ya Mbulumbulu wilayani
Karatu ambacho ni maarufu kwa ulimaji wa zao la Shayiri akimkabidhi
Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania, (TBL), Robert Jarrin mara baada
ya kukabidhi Kituo cha Afya cha Kijiji hicho vifaa mbalimbali vya
matibabu.
Maofisa wa TBL wakibadilishana
mawazo wakati wa hafla ya kukabidhi vifaa kwa Kituo cha Afya cha Kijiji
cha Kambi ya Simba kilichopo wilayani Karatu, katikati ni Afisa
Uhusiano Dorris Malulu, kushoto kwake ni Mkurugenzi Jarrin na kulia
kwake ni Meneja mradi wa Kilimo cha Shayiri Dk. Basson.
No comments:
Post a Comment