Friday, June 12, 2015

Chelsea yasajili beki kinda kutoka Romania


FOTBAL - UNDER 17 - SERBIA - ROMANIA
Chelsea wameripotiwa kukamilisha usajili wa kwanza majira ya kiangazi mwaka huu wakiinasa saini ya mlinzi wa miaka 17, raia wa Romania, Cristian Manea.Mkurugenzi mkuu wa FC Viitorul Constanța amethibitisha usajili huo leo asubuhi kupitia vyombo vya habari kama inavyoonekana chini;

No comments:

Post a Comment