Friday, June 12, 2015

NISHA, SAJENTI WAWACHANA MASTAA KUCHAGUA MSIBA



Msanii wa Filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’.
Wasanii wa Filamu za Kibongo, Salma Jabu ‘Nisha’ na Husna Idd ‘Sajenti’ hivi karibuni wamewachana wasanii wenzao kuwa ni watu wa kuchagua misiba. Wasanii hao waliongea hayo walipokuwa kwenye msiba wa msanii aliyewahi kutamba na Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu, Mzee Kankaa aliyefariki dunia siku ya Jumanne  nyumbani kwake Tandale jijini Dar.

No comments:

Post a Comment