TIMU ya
Taifa ya Tanzania, Taifa Stars imeanza vibaya mechi za Kundi G za kufuzu
Fainali za Mataifa ya Afrika 2017 baada ya kufungwa mabao 3-0 na Misri
usiku wa kuamkia leo mjini Alexandria.
Mabao
yote ya Misri yamefungwa kipindi cha pili, wafungaji wakiwa Rami Rabia
dakika ya 61, Basem Morsi dakika ya 65 na Mohamed Salah dakika ya 70
No comments:
Post a Comment