Mkurugenzi Mtendaji
wa THPS, Dr.Redempta Mbatia, akizungumza kabla ya kukabidhi seti za
kumputer kwa vituo vya afya vinane vya Unguja na Pemba kwa ajili ya
kutunzia kumbukumbu katika vituo vyao.
DR
Mdahoma akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa Msaada wa Komputer
kwa Ajili ya kuwekea Kumbukumbu katika Vituo vya Afya vya Unguja na
Pemba, makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya
mazsons shangani Zanzibar.
Naibu
Katibu Mku Wazara ya Afya Zanzibar Halima Maulid Salum akitowa shukrani
kwa msaada huo wa Seti za Kumputer uliotolewa na THPS kwa ajili ya Vituo
vya Afya Vinane vya Unguja na Pemba ili kuweza kutunza kumbukumbu zao
za kila siku
No comments:
Post a Comment