Wednesday, June 17, 2015



Moja ya Couple zilizotikisa Dunia ni hii ya Karuche na Chris brown, lakini bado wawili hawa licha ya kuachana lakini bado wanashika Headlines kutokana na Vituko vyao kwenye Social Media.


Katika mahojiono aliofanya hapo juzi Karruechw alisema kuwa anaamini mahusiano yale na Breezy hayakuwa ya kweli kwa sababu alianza mahusiano nae kipindi bado Chris Brown Yuko na Rihanna, Wawili hawa wemekuwa wakitengeneze Headlines kwenye magazeti ya Marekani kutokana na vituko vyao wanavyovifanya kwenye Social Media, Hapo majuzi Mtandao wa TMZ uliandika kuhusu Vurugu ambayo Chris Brown alimfanyia karrueche.

No comments:

Post a Comment