Swali
liliulizwa na Mbunge Victor Mwambalaswa Bungeni Dodoma leo June 22 2015
kuhusu idadi ya mechi zilizochezwa ndani ya Uwanja wa Kimataifa wa Mpira
wa miguu uliopo Dar.
Majibu
yakatolewa na Waziri Fenella Mukangala “Mpaka sasa mechi 48 za Kitaifa
na mechi 29 za Kimataifa zimechezwa katika Uwanja wa Taifa... Mapato
yanayopatikana yanaelekezwa kwenye mfuko wa hazina wa Taifa. Mapato hayo
hutumiwa na Serikali kama yalivyo mapato mengine“
Kuna
mpango wa kujenga Shule ya Michezo? “Serikali haina mpango wa kuanzisha
Shule ya Michezo kutokana na ufinyu wa Bajeti. Hata hivyo jitihada
zinafanyika kuimarisha michezo katika Shule zilizopo” Fenella
Mukangala.
Sauti ya Waziri Fenella Mukangala iko hapa.
No comments:
Post a Comment