Sunday, June 14, 2015

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AHUDHURIA IBADA MJINI DODOMA-JUNI 14,2015


01
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakishiriki katika ibada ya kwanza ya Jumapili kwenye kanisa Katoliki la Paulo wa Msalaba mjini Dodoma Juni 14, 2015.

03
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakisalimiana na Askofu Mstaafu wa Jimbo la Dodoma, Mhashamu Mathias Isuja baada ya ibada ya kwanza katika kanisa la Paulo wa Msalaba mjini Dodoma Juni 14, 2015.
 04
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya baada ya kuhudhuria ibada ya kwanza katika kanisa Katoliki la Paulo wa Msalaba mjini Dodoma Juni 14, 2015.

No comments:

Post a Comment