Kiongozi
wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahubia wakazi wa mji wa
Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya ,Town
School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka
azimio la Arusha.
Katibu
Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Samson Mwigamba, akiwahutubia wakazi wa
mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya
,Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa
kutoka azimio la Arusha.
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Anna Mghira, akiwahutubia wakazi wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya ,Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka azimio la Arusha.
No comments:
Post a Comment