Wilfred Bony alijiunga na klabu ya Manchester City akitokea klabu ya Swansea City kwa ada ya uhamisho ya pound milioni 28. Kocha wa klabu ya Man City Manuel Pellegrini amethibitisha kumkosa mchezaji huyo katika mechi ya kesho dhidi ya Watford.
“Kwa
bahati mbaya Bony alipata majeraha jana hivyo hatokuwepo katika mchezo
wa kesho na huenda akawa nje ya uwanja kwa siku saba hadi
kumi”>>> Manuel Pellegrini
No comments:
Post a Comment