August 27 ni siku ambayo yalipangwa makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya Monaco Ufaransa,
droo ya kupanga makundi hayo iliambatana na hafla ya utolewaji wa tuzo
ya mchezaji bora Ulaya. August 28 yamepangwa makundi ya UEFA ndogo maarufu kama UEFA Europa League.
Klabu ya Liverpool italazimika kusafiri hadi Urusi kuwafuata Rubin Kazan waliyopo maili 500 kutoka mji wa Moscow ulipo, kundi lao B lina timu pia za Bordeaux kutoka Ufaransa na Sion kutokea Switzerland.
Haya ni Makundi yote mtu wangu
No comments:
Post a Comment