Santi Cazorla akipiga mpira uliomgonga mkononi beki wa Chelsea Gary Cahill wakati wa mechi ya jana.
Oscar wa Chelsea akikwaana na kipa wa Arsenal David Ospina wakati wa mtanange wa jana.(P.T)
Kiungo wa Chelsea, Cesc Fabregas akizawadiwa kadi ya njano baada ya kujirusha akitafuta penalti.
ARSENAL
na Chelsea jana zimeshindwa kutambiana katika mechi yao ya Ligi Kuu ya
England iliyopigwa kwenye Uwanja wa Emirates jijini London. Mpaka mwisho
wa dakika 90, Arsenal 0-0 Chelsea.
Kwa
matokeo ya jana Chelsea wamefikisha pointi 77 wakiwa nafasi ya kwanza
huku Arsenal wakiwa na pointi 67 katika nafasi ya tatu nyuma ya
Manchester City.
VIKOSI:
Arsenal (4-2-3-1): Ospina, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin (Welbeck 75), Cazorla, Ramsey, Ozil, Sanchez, Giroud (Walcott 82)
Arsenal (4-2-3-1): Ospina, Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Coquelin (Welbeck 75), Cazorla, Ramsey, Ozil, Sanchez, Giroud (Walcott 82)
Waliokuwa benchi: Szczesny, Debuchy, Gibbs, Wilshere, Flamini
Chelsea (4-2-3-1): Courtois,
Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Ramires, Matic, Willian (Cuadrado
90), Oscar (Drogba 46), Hazard, Fabregas (Zouma 90)
Waliokuwa benchi: Cech, Luis, Mikel, Loftus-Cheek
No comments:
Post a Comment