Picha ya
pamoja ya baadhi ya makapuni binafsi waliopewa tuzo bora za
viwango,kutoka shoto ni Bi.Dorothy Mashamsham kutoka kampuni ya Mafuta
ya PetrolFuel,Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One Bi Joyce
Mhaville,Mkurugenzi wa Uzalishaji na Vipindi Clouds Media Group Bwa.Ruge
Mutahaba,Meneja Masoko Bwa. Elisa Ernest kutoka kampuni ya bima ya
Alliance Insurance.
Mkuu wa
Kitengo cha Idara ya Uchambuzi wa viwango Afrika Mashariki,Bwana Jawad
Jaffer akiwa na baadhi ya viongozi wa juu wa kampuni ya Clouds Media
Group,kutoka kulia ni Mkuu vipindi wa Clouds FM Sebastian Maganga,wa
tatu ni Mkurugenzi wa vipindi na Uzalishaji Ruge Mutahaba na Mkuu wa
kitengo cha huduma,Promosheni na Tamasha Clouds Media Group.Bi Fauzia
Kullane.
Mkuu wa
Kitengo cha Idara ya Uchambuzi wa viwango Afrika Mashariki,Bwana Jawad
Jaffer akimkabidhi tuzo bora ya viwango Mkurugenzi wa Uzalishaji na
vipindi wa Clouds Media Group,Bwa. Ruge Mutahaba,kwenye hafla fupi ya
utoaji tuzo bora za viwango hizo iliyofanyika ndani ya hotel ya Hyatt
Regency jijini Dar
No comments:
Post a Comment