Friday, April 17, 2015
Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amepatwa na dhahama ya
aina yake baada ya kuibiwa nguo yake ya ndani kimazingara kisha kuikuta
nje ikiwa imeloa damu.
Kwa mujibu wa Gpl , mara nyingi Kajala ana kawaida ya kufua na kuzianika nguo
hizo ndani lakini katika mazingira ya kutatanisha moja ilipotea na kila
alipofanya jitihada za kuitafuta, hakuiona.
Baada ya nguo hiyo
kutooneka ghafla, Kajala alichanganyikiwa sababu nyumbani kwake hakuna
hata panya ambaye anaweza kuibeba pengine na kuitupa sehemu nyingine.
No comments:
Post a Comment