Makamu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula
(kushoto), akihutubia katika mkutano wa wajumbe wa Halmshauri kuu ya
CCM, matawi, wenyeviti wa serikali za mitaa na wajumbe wao na mabalozi
wa chama hicho wilaya ya Ilala, uliohusu utekelezaji wa ilani na
mchakato wa uchaguzi mkuu uliofanyika Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia
ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala, Asaa Simba.
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Ilala, Asaa Simba akimkaribisha Mangula kuzungumza na wanaccm wa wilaya ya Ilala.
Mbunge wa
Jimbo la Ilala, Mhe Mussa Azan 'Zungu' akitoa taarifa ya utekelezaji wa
ilani ya CCM katika jimbo hilo mbele ya Mangula na viongozi wengine
kwenye mkutano huo. Kwa habari kamili na picha zaidi.
No comments:
Post a Comment