Uwekezaji
wa Kichina nchini Tanzania wamelalamikiwa kwa hatua yao kufanya
biashara za reja reja hali ambayo inadaiwa kuwanyima fursa zaidi wenyeji
wasio na uwezo wa biashara kubwa.
Katika
maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam si ajabu kukutana na baadhi ya
wachina wakiwa na biashara mikononi kama wafanyabishara wadogo nchini
humo maarufu kama machinga hali inayozua mshangao na viulizo kwamba
kweli hawa ni wawekezaji ama wamegeuka kuwa wafanyabiashara ndogo ndogo.
Nilitembelea eneo la kibiashara la Kariakoo ili kujionea hali halisi.
No comments:
Post a Comment