Sunday, May 3, 2015

Mgomo wa madereva na vyombo vya moto tena leo


Madereva wa Vyombo vya Usafirishaji katika maeneo mbalimbali  nchini, wameingia katika Mgomo tena leo kutotoa huduma hiyo kwa kile kinachodaiwa kwamba waitaka serukali iwasikilize madai ya mikataba yao kati yao ma waajiri.
Hali ya mgomo huo, umepelekea adha kubwa kwa abiria wa vyombo hivyo, hasa wale waliokuwa wakielekea mikoani, pamoja na watu wenye magari yao kwani baadhi ya maeneo kama tegeta watu wa magari binafsi wamelazimishwa kupandisha abiria tena bure

No comments:

Post a Comment