Sunday, June 7, 2015

Polisi yawatawanyisha CHADEMA kwa mabomu na kumkamata Mwenyekiti

Jeshi la polisi wilayani Iramba limetumia mabomu ya machozi na maji ya kuwasha kuwatawanya wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kuwakamata Mwenyekiti wa uhamashishaji kanda ya kati Bi Jesca Kishoa na katibu wa BAVITA wilayani Iramba Bwana Rayman Minja, wakati walipokuwa wakiwahamasisha wananchi kwenye mkutano wa hadhara kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura

No comments:

Post a Comment