Muziki
wa Afrika Mashariki unaendelea kuwa Katika HeadLines Duniani Kutoka na
Wasanii wa Afrika Mashariki Wakiwemo SAUTI SOL na DIAMOND PLATNUMZ
kuendelea kuupaisha Muziki wa Bongo Kimataifa zaidi...Sauti Sol wamekuwa
Nomited katika Tuzo za BET zinazofanyika Nchini Marekani..Pia wasanii
wanatakiwa kuiga mfano wa Sauti Sol kwa kuwa na ushirikiano wanaouonesha
Baada ya kupost picha ya Diamond Platnumz na kuwahimiza watu wapige
kura kwa nguvu ili ushindi Urudi East Afrika.
No comments:
Post a Comment