Katibu
Tawala wa Wilaya ya Kibondo Ayubu Sebabili (kulia) akikata utepe
kuashiria Ufunguzi wa Nyumba ya Mganga yenye uwezo wa Kukaliwa na
Familia Mbili baada ya kukabidhiwa Nyumba hiyo na Mkurugenzi Mkuu wa
shirika la World Lung Foundation Dk.Nguke Mwakatundu (wa pili kulia).
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la World Lung Foundation Dk.Nguke
Mwakatundu(aliyesimama) akizungumza katika hafla ya kukabidhi Nyumba ya
Mganga kwa Uongozi wa Kijiji cha Mabamba Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma.
No comments:
Post a Comment