Kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho
amekiri kuwa na furaha na kikosi chake cha sasa ila kauli hiyo bado
inazua maswali ni kweli hatasajili, ana furaha na kikosi chake? licha ya
ofa zake zaidi ya tatu za kuomba kumsajili beki wa kati wa Everton John Stones kukataliwa.
Mourinho ambaye ana mchezo mmoja weekend hii dhidi ys Crystal Palace alijibu furaha ya ubora wa kikosi chake licha ya kumkosa John Stones hivyo anaamini ana kikosi bora.
“Huwa
sizungumzii wachezaji kutoka timu nyingine nina kikosi bora na nina
furaha nacho, kama nitapata nchezaji kabla ya kufungwa kwa dirisha la
usajili ni vizuri kama sitapata tutaendelea na wachezaji tuliyonao,
nisingependa kufanya kama wengine kuwa namuhitaji Pogba wakati ni
mchezaji wa Juventus”>>> Mourinho
No comments:
Post a Comment